LICHA ya kushindwa kutinga robo fainali kwa msimu wa pili mfululizo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, bingwa wa kihistoria nchini, Yanga imeendelea kupaa Afrika katika viwango vya ubora kwa klabu za soka ...
MWAKA 1986 Simba SC ilifanya uchaguzi mkuu uliowaweka madarakani viongozi wapya, Mwenyekiti Emmanuel Makaidi na Katibu Mkuu Jimmy David Ngonya.
Bocco amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Simba, baada ya kumalizana na timu aliyoichezea kwa misimu 10 mfululizo Azam FC Mshambuliaji John Raphael Bocco amesaini mkataba wa miaka miwili ...